Tafadhali naomba kujuzwa

Tafadhali naomba kujuzwa

deprettyG

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
42
Reaction score
2
HAbari wana jf Naomba kujuzwa juu hl jambo,nimetokea kuipenda fani ya uuguzi(nursing)na kutamni kuisomea fani hyo lakin tatzo langu ni kwamba sijajua kama ntaweza kupokelewa katika vyuo vinavyotoa fani hyo ukilngansha na matokeo yangu ya kidato cha 4,

Nlichukua mchepuo wa sanaa na kupata alama D 4, englsh,geography, kishwahl, civis lakn kwenye math na bios nlipata F.nimemalza form 4 mwaka 2011.

HIVYO NAOMBA KUJUZWA JE NTAWEZA KUPATA NAFASI YA KUSMEA HYO FANI YA NURSIN?NI VYUO GAN AMBVYO VYAWEZA KUNIPOKEA?NA GHARAMA ZA MAFUNZO KWA NGAZI YA CHETI YAWEZA KUGHARIMU KIASI GANI? =natanguliza shukrani
 
F ya Bios? mmh sidhani ila ngoja waje wataalamu
 
Uweziii kupataaa kabisaaa yaaaniii hataaa health attendant upatiii yaaanii hataa kuwaaa mpishiii wa hospitali huwezipataaa F ya bios nendakasomeee arts sijakupondaa umeharibuuu sanaaayaaniii
 
Uweziii kupataaa kabisaaa yaaaniii hataaa health attendant upatiii yaaanii hataa kuwaaa mpishiii wa hospitali huwezipataaa F ya bios nendakasomeee arts sijakupondaa umeharibuuu sanaaayaaniii

Nadhani ameomba ushauri ila kumpa ushauri kihivyo sidhani kama inajenga.
 
Nadhani ameomba ushauri ila kumpa ushauri kihivyo sidhani kama inajenga.

Kweliii kakaaa nimetelezaa kidogooo kwakuwaa hesabu ana D afanyeee kureset PCB yoote angalauu apatee hizoo DDD hayoootuuu vigezoo na mashartiii kuzingatiwaa.

Kumbee hataa hesabuu anaa F sorry zingatiaa.
 
Fanya uchunguzi vyuo vinavyotoa certificate ya nursing then angalia admission requirements. vyuo vingine wanataka uwe na atleast D ambazo ni 4 haijalishi masomo gani.

ila kwa nursing apo bios na hesabu ni lazima waangalie. ama priority ya kwanza itaenda kwa wenye d za bios na maths.
 
Back
Top Bottom