Tafadhali naomba msaada wenu

Tafadhali naomba msaada wenu

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Ninahitaji TV aina ya Sony Bravia LED TV 32" new model ambayo unaweza watch events mbili kwa wakati mmoja make ya Malyasia kwa NRB ni Ks.32,000.00 eqt to Tsh.600,000.00, nikifatilia bei za Dar ni zaidi ya Tsh.200,000.00 ya bei ya kenya, hivi ni kwamba TZ electronics equipment bei zao ziko juu zaidi ya kenya na kwa nini wakati supplies wanazipata mahali pamoja? Pia pls naweza pata the exactly price na shop kwa Dar!!
 
Zipo kibao nenda samora Sony shop au kariakoo Zameena Electronics au nenda mlimani city!bei kutofautiana nithamani ya pesa pamoja na Ushuru wa nchi husika!!
 
Hi KakaKiiza, I think you didn't get my concern,
Ninajua TVs Dar zipo na hayo maduka ninayajua pia, swali langu ni maduka gani Dar wanauza electronic gadget esp hizo tv at reasonable price? kwani nikicompare na wenzao NRb bei zao ziko nafuu zaidi!!
 
Ndio kama kamanda alivyosema hapo juu; Tofauti ni ushuru wa kuingiza. Bado kwenye vitabu vya kodi vya kitanzania, vitu hivi vinaonekana kama ni anasa hivyo ushuru wake unakuwa wa juu zaidi.
 
Back
Top Bottom