OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20
Ninahitaji TV aina ya Sony Bravia LED TV 32" new model ambayo unaweza watch events mbili kwa wakati mmoja make ya Malyasia kwa NRB ni Ks.32,000.00 eqt to Tsh.600,000.00, nikifatilia bei za Dar ni zaidi ya Tsh.200,000.00 ya bei ya kenya, hivi ni kwamba TZ electronics equipment bei zao ziko juu zaidi ya kenya na kwa nini wakati supplies wanazipata mahali pamoja? Pia pls naweza pata the exactly price na shop kwa Dar!!