Nimepata chuo mount meru university kwa ajili ya kusoma dip in education kitu kinachonichanganya ni kuwa vyuo vinavyotoa hii dip huratibiwa na NECTA na mitihan yao hutolewa na necta iweje mount meru wao watoe hii dip kwa mtindo tofaut yaan wanachuo wao hawafany mtihan wa necta nisaidien jaman. Naogopa kuja kuambiwa haitambulik.