Msela Ngoto
Member
- Jun 10, 2018
- 29
- 28
Siti ya mbele kusubiri wajuziHabari za jioni wanajamvi,
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, wadau nataka kufuga kasuku lakini sijui naanzia wapi.
Tafadhali naomba mwongozo wenu kwa mtu anayejua chochote kuhusu kasuku, kuanzia upatikanaji wake, chakula chake, makuzi yake pamoja na changamoto nyengine.
Natanguliza shukrani za dhati toka kwenye uvungu wa mtima wangu.
Naomba kuwasilisha.
Ahsante mdau kwa maoni yako,Changamoto
Nnayoiona hapo ni SOKO
Vinginevyo
Andaa propaganda za mayai yake Kutibu NGUVU ZA KIUME.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mdau kwa maoni yako, angalau sasa nimejua pa kuanzia..wasiliana na ofisi ya maliasili ujue kama vibali vinapatikana kwanza halafu ndio uendelee. pia hapo wanaweza kukuelekeza mahali wanapatikana
Ahsante mdau, ngoja nifanye ili nijue tunakwama wapi.?vibali vinasumbua kinyama
Ahsante, ila sijaelewa umemaanisha nini hapo.Usiwe mbeya wanarudia kila unachoongea.
Mimi nina connection ya kuwapata wale grey parrot wa congo ambao ndo wenye iq kubwa kuliko spicies zingine ,mmoja anapatikana kwa Tsh 300,000-700,000 kulingana na umri tatizo hawana vibali(magendo) .Ahsante mdau, ngoja nifanye ili nijue tunakwama wapi.?
Nisije nikafeli kabla ya kujaribu.
Kwakweli umekuwa mdau muhimu sana juu ya jambo langu hili.Mimi nina connection ya kuwapata wale grey parrot wa congo ambao ndo wenye iq kubwa kuliko spicies zingine ,mmoja anapatikana kwa Tsh 300,000-700,000 kulingana na umri tatizo hawana vibali(magendo) .
Navyosikia watu wanazinunua halafu unamtafuta mwenye kibali ambae zilikufa kisha anajifanya ndo hizo na mnauziana kule maliasili wana transfer kwa jina lako maana vibali havijatoa description unique.
Nimewahi kuwa na wawili mkuu !Kwakweli umekuwa mdau muhimu sana juu ya jambo langu hili.
turudi kwenye point yako sasa, nadhani sio mabaya tukiwa na matokeo mfukoni coz inaonekana kidogo pana "usumbufu" kupata kibali cha ndege hao.
sasa we fanya hizo connections zako kisha unipe mrejesho tafadhali, nipo "serious" na hili jambo.
usinichoke mdau, natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.
hahahaUsiwe mbeya wanarudia kila unachoongea.
Yeah kumbe angalau una experience na hawa ndege, binafsi nawahusudu sana.Nimewahi kuwa na wawili mkuu !
siku wtu wakawatonya maliasili waje kunidaka ,tatizo wakiwa mlangoni na geti limefungwa rafiki akanitonya ,nikabidi niwaachilie ,niinbox nkupe namba wako kigoma hata ukitaka kumi
Wanazinunua nini nyanya?zilikufa,ndiyo hizo mnauziana.Mkuu we unazungumzia nyundo au bado uko kwenye kasuku?Mimi nina connection ya kuwapata wale grey parrot wa congo ambao ndo wenye iq kubwa kuliko spicies zingine ,mmoja anapatikana kwa Tsh 300,000-700,000 kulingana na umri tatizo hawana vibali(magendo) .
Navyosikia watu wanazinunua halafu unamtafuta mwenye kibali ambae zilikufa kisha anajifanya ndo hizo na mnauziana kule maliasili wana transfer kwa jina lako maana vibali havijatoa description unique.
Wananunua vibali ya zilizokufaWanazinunua nini nyanya?zilikufa,ndiyo hizo mnauziana.Mkuu we unazungumzia nyundo au bado uko kwenye kasuku?