Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

Tafadhali naomba mwongozo wa namna ya kufuga Kasuku

Nipo zanzibar..kasuku wadogo wanauzwa...hivi hili swala la kibari ni muhimu? Na wapo kwe maliasiri kama peacock?
 
Nimewahi kuwa na wawili mkuu !
siku wtu wakawatonya maliasili waje kunidaka ,tatizo wakiwa mlangoni na geti limefungwa rafiki akanitonya ,nikabidi niwaachilie ,niinbox nkupe namba wako kigoma hata ukitaka kumi

Habari mkuu
 
Kwakweli umekuwa mdau muhimu sana juu ya jambo langu hili.
turudi kwenye point yako sasa, nadhani sio mabaya tukiwa na matokeo mfukoni coz inaonekana kidogo pana "usumbufu" kupata kibali cha ndege hao.
sasa we fanya hizo connections zako kisha unipe mrejesho tafadhali, nipo "serious" na hili jambo.
usinichoke mdau, natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.

Habari mkuu ulifanikasha hili swala
 
Back
Top Bottom