Tafadhali naomba 'Team Antony Joshua' tutambuane mapema kabla leo mtu hajaenda kufa ulingoni na ubingwa kurejea kwake

Tafadhali naomba 'Team Antony Joshua' tutambuane mapema kabla leo mtu hajaenda kufa ulingoni na ubingwa kurejea kwake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo Andy Luiz atajuta kumfahamu bondia kipenzi cha GENTAMYCINE Antony Joshua. Kwa wale ambao 'mnabeti' tayari nimeshapewa matokeo na 'mtaalam' wangu kutumia nujumu / tabiri zake ambapo 'Kibonge' anapigwa kwa 'KO' moja hatari sana raundi ya 2 au ya 3 tu.

Kifupi leo Bondia Antony Joshua anaenda kumaliza biashara mapema sana ili atusaide mashabiki wake tuweze kuwahi kulala.
 
Namsupport Luiz coz naamini kwe underdogs people champion, ila namkubali Joshua ni mpambanaji na ana discipline ya mchezo. Ndo yale unaipenda Simba halafu unaBet Yanga. Matokeo yoyote kwako shangwe tu ah ah mzee Genta, naomba usiniite popoma ah ah.
 
Namsupport luiz koz naamini kwe underdogs people champion...ila namkubali Joshua ni mpambanaji na ana discipline ya mchezo...ndo yale unaipenda simba halafu unaBet yanga? Matokeo yoyote kwako shangwe tu ah ah mzee genta.., naomba usiniite popoma ah ah

Vitu pekee kinachonifanya nimpende na nimkubali sana Bondia Antony Joshua ni hivi vifuatavyo:

1. Ni Mcha Mungu mzuri sana
2. Ana Nidhamu Kubwa ya ndani na nje ya Ulingo
3. Hana Dharau
4. Mkarimu
5. Mthubutu
6. Mwerevu
7. Muungwana

Na leo anashinda ndani ya Raundi Tatu ( 3 ) tu za mwanzo.
 
Vitu pekee kinachonifanya nimpende na nimkubali sana Bondia Antony Joshua ni hivi vifuatavyo:

1. Ni Mcha Mungu mzuri sana
2. Ana Nidhamu Kubwa ya ndani na nje ya Ulingo
3. Hana Dharau
4. Mkarimu
5. Mthubutu
6. Mwerevu
7. Muungwana

Na leo anashinda ndani ya Raundi Tatu ( 3 ) tu za mwanzo.
Pia tatoo pekee aliyokua nayo ni ramani ya africa ingawa ni muingereza...hil limenifanya nimuheshim sana..namwona kama ametokea chato hivi ah ah
 
Ya utangulizi miwili ni ya Watanzania Selemani Said I anapigana na Mmarekani na mbongo mwingine anapigana na mzungu wa wapi sijui...

Hao nawatabiria kwa unyonge kuwa watapigika.
Azam Tv Channel Namba 123 Fight Sports na ' Mitanange ' ipo mingi hasa ya Utangulizi ila ule wenyewe utaanza rasmi Saa 5 na dakika 45 za Usiku.
 
Leo mmexico anapigwa bandubandu mpaka ataamua kuacha ngumi akachume ma apple kwao au akauze ngada.

Hata Mimi naliona hilo na nahisi anaweza hata Kufa kama siyo Kufariki kabisa. Antony Joshua atashinda kwa ' KO ' Raundi Tatu tu za mwanzo na si zaidi ya hapo.
 
Kafupi ketu kamedundwa Mungu mkubwa maana kangeshinda ungesikia ni ccm
 
Wengi tungependa yule mnyakyusa mwenzetu ashinde. ..... Shida ni kwamba ile fluffy bull dog ya Mexico haisikii maumivu (metal chin)

AJ ni body builder with very fine shape with glass chin " sio mvumilivu. ... Ruiz ni natural born boxer ambaye wakati wote anaamini ktk kushambulia zaidi

Amini usiamini ndani ya yale manyama uzembe ya Ruiz kuna nguvu isiyo ya kawaida......

Lolote laweza kutokea.
 
images.jpeg-66.jpg
images.jpeg-66.jpg
 
Back
Top Bottom