GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Joshua leo atapigwa kama kawaida yake
Round ya sita pambano litakua limeisha kabisa
Namsupport luiz koz naamini kwe underdogs people champion...ila namkubali Joshua ni mpambanaji na ana discipline ya mchezo...ndo yale unaipenda simba halafu unaBet yanga? Matokeo yoyote kwako shangwe tu ah ah mzee genta.., naomba usiniite popoma ah ah
Pia tatoo pekee aliyokua nayo ni ramani ya africa ingawa ni muingereza...hil limenifanya nimuheshim sana..namwona kama ametokea chato hivi ah ahVitu pekee kinachonifanya nimpende na nimkubali sana Bondia Antony Joshua ni hivi vifuatavyo:
1. Ni Mcha Mungu mzuri sana
2. Ana Nidhamu Kubwa ya ndani na nje ya Ulingo
3. Hana Dharau
4. Mkarimu
5. Mthubutu
6. Mwerevu
7. Muungwana
Na leo anashinda ndani ya Raundi Tatu ( 3 ) tu za mwanzo.
Tafadhali itaonyeshwa channel gani na mda gani
DSTV hawaonyeshi hilo pambano
Leo mmexico anapigwa bandubandu mpaka ataamua kuacha ngumi akachume ma apple kwao au akauze ngada.
Azam Tv Channel Namba 123 Fight Sports na ' Mitanange ' ipo mingi hasa ya Utangulizi ila ule wenyewe utaanza rasmi Saa 5 na dakika 45 za Usiku.
Leo mmexico anapigwa bandubandu mpaka ataamua kuacha ngumi akachume ma apple kwao au akauze ngada.