Tafadhali naomba 'Team Antony Joshua' tutambuane mapema kabla leo mtu hajaenda kufa ulingoni na ubingwa kurejea kwake

Mkuu Genta unakuwaga na hoja za msingi sana ila muda wote huwa najiuliza ni kweli huwezi kujibu hoja kwa hoja mpaka utukane? Au ndio style ya ku deal na mapopoma?
 
Namsupport Luiz coz naamini kwe underdogs people champion, ila namkubali Joshua ni mpambanaji na ana discipline ya mchezo. Ndo yale unaipenda Simba halafu unaBet Yanga. Matokeo yoyote kwako shangwe tu ah ah mzee Genta, naomba usiniite popoma ah ah.
Luiz sio underdog braza

Katika mapambano yake yotee (Kabla ya Leo) kapoteza kwa Joseph Parker tu tena kwa point.

HEBU CHEKI RATING YAKE
 
Mkuu Genta unakuwaga na hoja za msingi sana ila muda wote huwa najiuliza ni kweli huwezi kujibu hoja kwa hoja mpaka utukane? Au ndio style ya ku deal na mapopoma?

Nashukuru hapo mwishoni umejijibu mwenyewe juu ya Swali lako uliloniuliza katika Sentensi yako ya awali. Huyu ndiyo GENTAMYCINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…