Tafadhali nijuzeni zaidi sababu hapa ndo jukwaa la wasomi

Tafadhali nijuzeni zaidi sababu hapa ndo jukwaa la wasomi

amani91

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
41
Reaction score
6
maana halisi ya neno MWANAUME.

Sababu jana katika kijiwe fulani cha kahawa hapa mtaani kwetu karibia watu watoane macho.
:confused3:
 
Back
Top Bottom