TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

Feisal2020

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
1,337
Reaction score
3,436
UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi humu kufuta content ya tangazo ili nisitafutwe tena... samahani kwa usumbufu nikipata uhitaji tena nitarudi hapa.
 
Kwahiyo ulivyoanzisha hii thread ulijua upo PM au.. Huyo jamaa anaenda kukutapeli. We tuma namba tu
Chief niliandika hii post nikaweka na taarifa kamili, baadae nikapata mtu ambaye tayari nimemuunganisha hivyo nikaja kufuta content ya tangazo
 
Chief niliandika hii post nikaweka na taarifa kamili, baadae nikapata mtu ambaye tayari nimemuunganisha hivyo nikaja kufuta content ya tangazo
Mimi nilishasoma. Uliweka Screenshot ya WhatsApp na ukatuma namba inaishia 12. Umesema akutumie hapa PM. Ndo nikakuuliza ulijua hapa ni PM? Nadhani ndo maana umefuta.
 
Mimi nilishasoma. Uliweka Screenshot ya WhatsApp na ukatuma namba inaishia 12. Umesema akutumie hapa PM. Ndo nikakuuliza ulijua hapa ni PM? Nadhani ndo maana umefuta.
Aah zile niliweka ni screenshot ya WhatsApp ya huyo bosi wangu anaetaka mtu wa kazi, nikaweka email address na namba ya simu inaishia 12 kwamba mtu anitafute kwenye hizo au hapa JF (PM)... nilikuja kufuta baada ya mtu kupatikana.
 
Back
Top Bottom