Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,337
- 3,436
Kama hujui maana ya SEO, ingia hata Google.Content in which category?
Kama hujui maana ya SEO, ingia hata Google.
Umeuliza lile swali ni nje ya mada.Kwamba Mimi ndio ninashida kwani?
Umeuliza lile swali ni nje ya mada.
Hapa tena unatuma ujumbe kwa mtu sio sahihi.Sawa.
Ungeandika kirefu kisha ndani ya mabano ndio uweke hiyo abbreviation
Sema sio kesi
Travel, kaka mkubwa.Content in which category?
Kwahiyo ulivyoanzisha hii thread ulijua upo PM au.. Huyo jamaa anaenda kukutapeli. We tuma namba tu
Chief niliandika hii post nikaweka na taarifa kamili, baadae nikapata mtu ambaye tayari nimemuunganisha hivyo nikaja kufuta content ya tangazoKwahiyo ulivyoanzisha hii thread ulijua upo PM au.. Huyo jamaa anaenda kukutapeli. We tuma namba tu
Mimi nilishasoma. Uliweka Screenshot ya WhatsApp na ukatuma namba inaishia 12. Umesema akutumie hapa PM. Ndo nikakuuliza ulijua hapa ni PM? Nadhani ndo maana umefuta.Chief niliandika hii post nikaweka na taarifa kamili, baadae nikapata mtu ambaye tayari nimemuunganisha hivyo nikaja kufuta content ya tangazo
Aah zile niliweka ni screenshot ya WhatsApp ya huyo bosi wangu anaetaka mtu wa kazi, nikaweka email address na namba ya simu inaishia 12 kwamba mtu anitafute kwenye hizo au hapa JF (PM)... nilikuja kufuta baada ya mtu kupatikana.Mimi nilishasoma. Uliweka Screenshot ya WhatsApp na ukatuma namba inaishia 12. Umesema akutumie hapa PM. Ndo nikakuuliza ulijua hapa ni PM? Nadhani ndo maana umefuta.