Awali ya yote niwashukuru sana walioamua kuanzusha chommbo kama hiki! mimi ni mwanafunzi wa mwaka pili UDSM.Ndoto zangu siku zotte za maisha yangu ni kuwa mwigzaji au mtangaji wa redio au TV.
Kutokana na sababu mbalimbali peke yangu imekuwa ngumukutimiza ndoto zangu OMBI naomba sasa kama kuna yeyote kwa namna moja au nyingine anaweza kunisaidia mfano kuniunganisha na waigizaji au kituo redio nitafurahi sana.
Mtwevu maliza kwanza chuo then ndio ukasomee maswala ya utangazaji ukiwa na cheti chako utapata kazi tu bila shaka, kuliko njia hii ambayo unataka kuitumia hivi sasa ambayo ni ngumu sana kwako wewe kufanikiwa.
kwa vile bado huko chuo na unaonesha nia.mie ningekushauri wakati huu ambao unaendelea na masomo jaribu kupeleka maombi yako kwenye vituo vyote kwamba unataka kwenda kufanya training for free kutokana na mahitaji yako ya masomo unayojifunza.
na swala la kuigiza ndio rahisi zaidi peleka maombi ya kujitolea kuigiza kwa bure.watakusaidia wewe kupata experience na wao watakua wamekutumia kwa bure.
baadae ukimaliza masomo utakuwa tayari ushajifunza mengi na hapo utakuwa tayari sasa kuanza ajira rasmi.nakutakia kila kheri.