Tafadhali nishauirine kiungwana na kisheria juu ya hili la kuombwa talaka

mayoscissors

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
975
Reaction score
478
Mimi ni mwanaume niko kwenye ndoa kwa miaka 4 sasa na kabla ya hapo nilipata mtoto na kwa bahati mbaya mke wangu alichelewa kupata mtoto hivyo tuka adopt mtoto japokuwa bado hajawa mtoto wetu kisheria.Pia mungu alitupa mtoto bahati mbaya akafari.Tumekuwa na magomvi ya mara kwa mara na mke wangu hasa nikiwa karibu na mama mtoto wangu wa kwanza na ameamua kuomba talata.
kwanza talaka yenyewe sijui utaratibu wake na pia namwonea huruma huyu mtoto wa kuasili ambaye bado hatujaapa.
Tafadhali mwenye uzoefu wa hali hii na wa kisheria anishauri kwani niko radhi kumpa mke wangu talaka kwani hatujawahi kufurahia maisha ya ndoa tangu tuoane.
 
kwa ufahamu wangu ni kwamba mahakama za tanzania hazipendelei kutoa talaka...ambayo ni divorce..nafikiri hapo utakachopewa ni separation jombaa na sio dissolution of marriage..maana kwa hiyo vigezo vyake ni vingi kimtindo...kwa kuanzia mchakato wenu mnaweza anzia kwa ustawi wa jamii..halafu huko..mtaendelea..mabaraza ya usuluhishi, etc kama mtafika mahakamani fresh hamna maneno...over..lakini hiyo ni initial stage unayotakiwa kuanza nayo kuhusu huyo mtoto kama umeamua kumuasili hamna shida endelea nae tu jombaa mana ni design kama mwanao hivi...
 
Mimi ni mwanaume niko kwenye ndoa kwa miaka 4 sasa na kabla ya hapo nilipata mtoto na kwa bahati mbaya mke wangu alichelewa kupata mtoto hivyo tuka adopt mtoto japokuwa bado hajawa mtoto wetu kisheria.Pia mungu alitupa mtoto bahati mbaya akafari.Tumekuwa na magomvi ya mara kwa mara na mke wangu hasa nikiwa karibu na mama mtoto wangu wa kwanza na ameamua kuomba talata.
kwanza talaka yenyewe sijui utaratibu wake na pia namwonea huruma huyu mtoto wa kuasili ambaye bado hatujaapa.
Tafadhali mwenye uzoefu wa hali hii na wa kisheria anishauri kwani niko radhi kumpa mke wangu talaka kwani hatujawahi kufurahia maisha ya ndoa tangu tuoane.

katika kufungua shauri la madai ya talaka mahakamani ni lazima applicant awe na form namba 3 au barua toka baraza la usuluhishi itakayoelezea kua baraza hlo limewasuluhisha na kuona kua ndoa yenu haiwez kurekebishika tena,mabaraza hayo ni BAKWATA kwa walofunga islamic marriage,kanisana,baraza la kata na ustawi wajamii.hvyo bas muombaj ndo ataenda huko barazan na utaletewa barua ya wito na kwenda kusuluhsha inaposhindkana ndo mtapewa hyo form ya kwenda mahakaman na shauri kufunguliwa.kuhusu mtoto kna vgezo ambavyo ustaw wa jamii wataviangalia includn jinsia ya mtoto na ustaw wake kiujumla.
 
Back
Top Bottom