mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Mimi ni mwanaume niko kwenye ndoa kwa miaka 4 sasa na kabla ya hapo nilipata mtoto na kwa bahati mbaya mke wangu alichelewa kupata mtoto hivyo tuka adopt mtoto japokuwa bado hajawa mtoto wetu kisheria.Pia mungu alitupa mtoto bahati mbaya akafari.Tumekuwa na magomvi ya mara kwa mara na mke wangu hasa nikiwa karibu na mama mtoto wangu wa kwanza na ameamua kuomba talata.
kwanza talaka yenyewe sijui utaratibu wake na pia namwonea huruma huyu mtoto wa kuasili ambaye bado hatujaapa.
Tafadhali mwenye uzoefu wa hali hii na wa kisheria anishauri kwani niko radhi kumpa mke wangu talaka kwani hatujawahi kufurahia maisha ya ndoa tangu tuoane.