Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kwa mtu ambaye hajapitia hali hiyo hawezi kuelewa, hata mimi sielewi sana coz wapo ila memories like these are pricelessInasikitisha sana
R.i.p prof. Y. Bwatwa nilikua karibu yake miaka mingi iliyo pita alipenda kututania kuhusu kuongea kusalimiana na wazazi Kila asubuh japo hata kwa simu.Absolutely true, usiichezee hii nafasi kama una opportunity
Apumzike kwa amani Prof. Maisha ni mafupi sanaR.i.p prof. Y. Bwatwa nilikua karibu yake miaka mingi iliyo pita alipenda kututania kuhusu kuongea kusalimiana na wazazi Kila asubuh japo hata kwa simu.
Prof Bwatwa ndie mwalimu wake na prof ndalichako.. mzee alikua mnyoofu kama rula
Pumzika kwa amani profesa.
Nilicho andika ni ukweriiii jamii forum ni LIKIJIJI LIKUUBWAAA mnoo watu walio share life na prof Bwatwa au ndalichako watafutwe waulizwe kuhusu prof Bwatwa..Apumzike kwa amani Prof. Maisha ni mafupi sana
Akumbukwe na kuenziwa kwa mazuri aliyotuachia
Mlikuwa na uhusiano gani naye?Nilicho andika ni ukweriiii jamii forum ni LIKIJIJI LIKUUBWAAA mnoo watu walio share life na prof Bwatwa au ndalichako watafutwe waulizwe kuhusu prof Bwatwa..
Yaan wewe na mimi hatuna tofauti, inabidi nipige nao za ukubwani zijae album ππNikiwa mdogo nlipiga picha na 'maza & mzee' nyingi sana kila nkienda home napewa album naangalia ila saiv nimekua mtu mzima sijawahi piga nao picha.
Narudisha maiki kwako Chica Gee
ebu nione za udogoniYaan wewe na mimi hatuna tofauti, inabidi nipige nao za ukubwani zijae album ππ
Kipindi fulani kwenye maisha Nili be introduced kwake Kuni noa kwenye research methodology baadae tukawa marafiki wakubwa.Mlikuwa na uhusiano gani naye?
Hebu tuzione kama ni kweliNikiwa mdogo nlipiga picha na 'maza & mzee' nyingi sana kila nkienda home napewa album naangalia ila
Sawa, alikupa jibu gani mkuu?Kipindi fulani kwenye maisha Nili be introduced kwake Kuni noa kwenye research methodology baadae tukawa marafiki wakubwa.
Niliwai kumtania na kumuuliza kwanini hakuwai kuwa mwanasiasa alinipa jibu lililo staajabisha Aendelee kupumzika kwa AMANI.
Mkuu wewe ulimfahamu?