Tafadhali,pita hapa tujuzane kuhusu vyuo vya afya

Arash charlz

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
50
Reaction score
1
Msaada kwa hili jamani,hv vyuo vya afya vya private wanaweza kukuchukua ukiwa na alama D mbili na E moja ktk masomo ya phy,chem na bios? Nina div.4.32
 
E = failed !

Sidhani kama wanaweza chukua !

snipa
 
Last edited by a moderator:
Msaada kwa hili jamani,hv vyuo vya afya vya private wanaweza kukuchukua ukiwa na alama D mbili na E moja ktk masomo ya phy,chem na bios? Nina div.4.32

Biology and chemistry are compulsory but physics is required for clinical medicine course
 
Msaada kwa hili jamani,hv vyuo vya afya vya private wanaweza kukuchukua ukiwa na alama D mbili na E moja ktk masomo ya phy,chem na bios? Nina div.4.32

Tuma maombi wizarani ww asikukatishe tamaa mtu, CAS central admssion system wamesema kwamba cheti cha kidato cha nne kionyeshe alama D na E ktk PCB.alama E ni sawa na D ya mwaka jana
 
Chuo binafsi anataka sasa Maombi ya wizarani ya kazi gani?
Nenda vyuo vifuatavyo,
1.Lugalo Military Hospital
2.KAM MED college
3.CHANJI-Mbeya
4.Machame hosp
 
Kwan vyuo binafsi si unafanya maombi kupitia CAS? au unaenda chuoni moja kwa moja?
 
Chuo binafsi anataka sasa Maombi ya wizarani ya kazi gani?
Nenda vyuo vifuatavyo,
1.Lugalo Military Hospital
2.KAM MED college
3.CHANJI-Mbeya
4.Machame hosp

hapo aombe machame na lugalo,hvyo vngne hasa KAM ni majanga.
Ila vigezo na masharti yolowekwa na wizara huzingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…