Tafadhali pita hapa!

deprettyn

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu waungwana..naombeni ushauri wa kiafya!nilikutana na mpenz wangu mpya kimwili nikiwa nimemaliza tu period..na baada ya hapo analalamika anawashwa pia anahisi maumivu makari.kwaiyo naomba nijuzwe ni dawa gani yaweza kutibu hilo tatzo?kwa upande wangu niko safi ila yeye ndo anawashwa!

Tafadhali ushauri wenu
 
Mpenzi mpya alafu hajatumia condom!kweli hii kampeni ni ngumu
 
mnaogopa kwenda hospital!
 
Ukisikia ghonorheaa ndio hiyo hahahhha nenden wod namba 6 mtamkuta dr. MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana isijekuwa ni wewe ndie uliye muambukiza huyo mpenzi wako? nendeni wote hospitali muka angaliwe haraka iwezekanavyo.
 
Thankx..to all walionishauri na walionikejeri..may god bless u!! We will go and check
 
Pole sana. Kwanini ulifanya hivyo na kwenda kavu?. Mwanamke akitoka tu kwa siku zake huwa kunakuwa na uchafu na wakati mwingine bakteria huwepo ambao kama ukakutana na mwanaume atapata matatizo kama hayo.pia huweza kupata, vidonda ana kuwashwa sana lakini hupona vyenyewe baada ya muda mfupi. lakini kama tatizo linaendelea inawezekana ni tatizo lingine mshauri akapime ajue tatizo kwanza na ataambiwa matibabu yake.
 
atakuwa na UTI, KACHEKI URINE THEN UTAPATA MATOKEO
 
:eyebrows::eyebrows:

Hahahahah hivi Price hii CC ulonizawadia unataka nikamkune muwashwaji au nimfanye huyu binti asitembee na upup.u kwenye K yake??

Nijibu kabla ya tarehe 30/3 vinginevyo nahamishia upup.u kwenye kojoleo lako pendwa.
 
:eyebrows::eyebrows:


Hahahahah hivi Price hii CC ulonizawadia unataka nikamkune muwashwaji au nimfanye huyu binti asitembee na upup.u kwenye K yake??

Nijibu kabla ya tarehe 30/3 vinginevyo nahamishia upup.u kwenye kojoleo lako pendwa.
Hapana nimemaanisha Aspirin....dawa.. sorry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…