Tafadhali Rose anahitaji mawazo yako!!..

ushauri kwa rose:
1. akubali kuacha tabia hiyo haraka
2. kama hawezi basi asitishe mahusiano na huyo jamaa kwani hatakuwa anamtendea haki
3. huyo mdada anatakiwa kulaumiwa kwa kuwa alitakiwa kuchagua mtu anaeendana nae katika staili ya maisha
4. wale aliokuwa anawatumia ahakikishe anakaa nao mbali ili aweze kufanikiwa kuacha zoezi kama yuko nao karibu ni ngumu kuacha

Kwanza kabisa ni kwamba kama Rose alikua hana mpango wa kuendeleza hayo mambo wala asingeomba ushauri kwako... ina maana anataka akipata mume - aendeleze huo mchezo mchafu! Kwa hio Eiyer unaposema kama shemejio mtarajiwa (your fellow MAN) kama muelewa... una maana gani??
1. Muelewea kua ajue tabia chafu ya Rose... alafua amuoe hivo hivo apotezeee.... AMA
2. Muelewa kua nae aanze huo mchezo mchafu (yaaani muongeze idadi ya mashgoa??)

Ila kwa sasa yaelekea tabia hii imekuwa sugu na wengi tu hufanywa kinyume na maumbile wahenga walisema mazoea hujenga tabia na tabia haina dawa ni vigumu huyu kuja kuacha huli vyovyote utakavyomshauri

mkuu unajua hapa ni mahali pa heshima sana,usifikiri kwa sababu hujulikani unaleta kila upuuzi hapa,jaribu kufikiria kabda hujainamisha kichwa chako kutuma post hapa,sio fresh na sijapenda hii

Hata mimi amenikera sana na haka katabia ka kuleta upumbavu wao hapa,mbona wanapotaka kuanza uchafu wao hawaji kuomba ushauri?KOMENI KUTUSHIRIKISHA MADHAMBI YENU.

Mwambie Rose amuambie ukweli kama maandalizi ya ndoa yanavunjwa na yavunjwe ni bora kuliko akalilipulie hilo bomu ndoani,I can't imagine my fellow dude anavyoweza kureact wengine wanaweza kufa hapohapo au akaua..manake inategemea mchumba wako ulimrate katika viwango vipi..

nakushauri kwa sababu mimi ni mtu mzima,jaribu kufikiri kabla ya kutenda,usilete post za ajabu hapa,unaonekana kama unadharau jukwaa letu,kama huna mambo ya msingi bora kukaa kimya na kusoma mawazo ya wenzio na kujifunza,acha utani wa kijinga kijana

Mkuu mbona unakuwa mkali wakati jamaa katumia Lugha safi, hajatukana na kaonesha heshima zote, labda wewe umekwazika lakini sio wote wenye mtazamo kama wako na ndio maana wapo wanaotoa ushauri. Muhimu ni ushauri kama umekwazika kaakimya.

Anaweza kuwa amekuelewa mkuu!

Nimekuwa nikiskia kama stori kuwa wale madada poa huwa wanatumia njia hiyo kukamata waume za watu kumbe wapo wengine wanaotaka kuolewa na wametumika kama wale? mmhh

Kwa nza msaidie rafiki yako aache kununua vijana iliwafanye hayo matendo, haoni kujidhalilisha, pili wala hafai kuwa mke amesha feli mtihani, ni bora abaki single tu, coz hata kama amezoea hiyo kitu, kwani ni lazima kununua watu, kwani hawezi kuwa na mpenzi mmoja tu mwenye kupenda hizo ibada? namshauri avunje hiyo ndoa sababu haitaumu hata miezi mitatu, unless amwambie kabisa sasa hivi huyo jamaa ili aamue kunyoa ama kusuka

Husna is not that simple mama!There is some complication!

hebu imagine ishu ikibumbuluka b'dae itakuwaje? Ni rahisi jamaa kukubali tokeo sahv kuliko b'dae.
Mdada ana wasiwasi ndoa haitafungwa ila kwa mtazamo wangu ndoa ni ngumu kutofungwa kwa sasa ila ni rahisi kuja kuvunjika kwa b'dae.

mkuu unajua hapa ni mahali pa heshima sana,usifikiri kwa sababu hujulikani unaleta kila upuuzi hapa,jaribu kufikiria kabda hujainamisha kichwa chako kutuma post hapa,sio fresh na sijapenda hii

Hapana mkuu, this's serious issue isiyohitaji kubezwa! Binafsi imeni-touch; nawahurumia wote wawili; huyo Rose na huyo mchumba wake!@

Mkuu, hii issue ni very serious na kwakuwa una lengo la kumsadia Rose basi be firm kwani wapo watakaotoa michango ya kuchukiza kuliko kusaidia. Binafsi, nakunja jamvi; lakini baada ya muda nitarejea. Hata hivyo, b4 sijakunja jamvi ningependa kufahamu mambo yafuatayo ili nitakaporejea nitoe mchango wangu:
1. Huyo Rose hivi sasa anafanya biashara gani na nature ya biashara yake ipo vp? I mean; inawezekana tuseme anafanya biashara ya vitunguu ambavyo ama anavifuata mkoa na kuuza kwa jumla hapa town au anafanya rejareja!
2. Ni nani anahusika moja kwa moja na hiyo biz; na yeye mwenyewe au kwa kiasi kikubwa anatumia wafanyakazi?
3. Huyo mchumba wa Rose nae anafanya shughuli gani na nini nature ya hiyo shughuli yake? Refer No. 1 above
4. Je, wewe una mazoea na huyo mchumba wa Rose?

NB: Kama huna mazoea na huyo mchumba wa Rose basi kuanzia sasa mwambie Rose akukutanishe na huyo mchumba wake halafu ujenge nae urafiki wa karibu wakati tunasubiri mambo mengine!

Naz Rose anafanya biashara ya nguo za spesho na hua anazifuata mwenyewe China,mchumba wake ni mhasibu stanbic bank,huyo mchumba wake namfahamu na huwa napiga nae story mara kwa mara lakini nilikua sijui hili tatizo!

Mh!Ngoja nitaona cha kumshauri maana kila mahali naona pagumu!

Thanx Husna,kuna ka ukweli hapa!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…