BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 576
ushauri kwa rose:
- akubali kuacha tabia hiyo haraka
- kama hawezi basi asitishe mahusiano na huyo jamaa kwani hatakuwa anamtendea haki
- huyo mdada anatakiwa kulaumiwa kwa kuwa alitakiwa kuchagua mtu anaeendana nae katika staili ya maisha
- wale aliokuwa anawatumia ahakikishe anakaa nao mbali ili aweze kufanikiwa kuacha zoezi kama yuko nao karibu ni ngumu kuacha