Tafadhali sana benchi la ufundi Yanga isifanye makosa tena

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Kwanzia msimu umeanza kuna kosa kubwa la uchaguzi wa wachezaji hasa eneo la kiungo, na beki hivyo kupelekea timu ya Yanga kutokuwa na utulivu pindi wakishambuliwa. Hii Yanga imekuwa tofauti na ya msimu uliopita ambapo walikuwa wanaenda kushambulia lakini inapopokonywa mpira kila mchezaji anspambana kuwin mpira kwa haraka. Kocha tunaomba kwanza kwenye nafasi ya kiungo patendee haki kwa kumsogeza Bangala nafasi hiyo huyu Birigimana ni mzito hawezi hayo majukumu.
 
Yanga ni wabovu ngoja mje muwaone kimataifa hapa bongo wanahonga sana marefa
 
Wachezaji wakijua kuwa sifa kuu watakazozipata ni baada ya kushinda kwa magoli mengi na sio kupiga chenga ili washangiliwe na baadhi ya mashabiki waliopo uwanjani

Feisali na morson wangepunguza chenga na back ball waanze kushambulia aggressively kutoka dakika ya kwanza hadi wapinzani wanamwomba refa water break
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…