jaman wana javi ninashida moja inay
onisumbua nayo ni hii. Ndugu zangu hapa nilipo mwenzenu nimehitimu Elimu ya kidato cha sits lakini lugha ya kiingeleza imenipita
kushoto. namanisha ivi siwez kuzumgumzA kingereza vizuri
kibaya zaid cheti changucha iv kina f ya English. nilikuwa nimepanga kwamba niende British council lakini baathi wakaniambia nisiende. nahitaji msaada kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kujua kuongea vzr .