GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa Klabu yake ya Fungulia Mbwa FC imepata Mapokezi mabaya na kufanyiwa Figisu Figisu na kusema kuwa Wamepokelewa vizuri mno na Kiupendo kabisa.