GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
AaahaaaBahati nzuri huwa unakuwa wa kwanza kuja kuipongeza club unayoipenda kutoka moyoni mwako na Kila mara unaiota na kuiombea mema
Mfalme huwa anafungiwa? Huna Akili Wewe.kumbe ndio maana walikufungia jukwaa la michezo maana unakisabengo sana..
Kuna huyu aliye babuliwa nyumbani,tutajumlisha na za kule 😃"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa Klabu yake ya Fungulia Mbwa FC imepata Mapokezi mabaya na kufanyiwa Figisu Figisu na kusema kuwa Wamepokelewa vizuri mno na Kiupendo kabisa.
hio haiwezi kuwa kisingizio,mamelodi ni timu kubwa ipo juu sana,ukilinganisha na sisi wananchi,tutafungwa japo haitakuwa rahisi"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa Klabu yake ya Fungulia Mbwa FC imepata Mapokezi mabaya na kufanyiwa Figisu Figisu na kusema kuwa Wamepokelewa vizuri mno na Kiupendo kabisa.
Mwenye Mvuto, Ushawishi, anayesomwa na Wengi hapa JamiiForums na Mwerevu kutoka Koo za Kizanaki Mara na Yao Mtwara aitwae GENTAMYCINE.Hivi hizi ndo content za "member maarufu"
Hahahahaha waliomuita Popoma walimpatia sanakumbe ndio maana walikufungia jukwaa la michezo maana unakisabengo sana..
We ongeza tu idadi ya nyuzi za kuzikana..!!"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa Klabu yake ya Fungulia Mbwa FC imepata Mapokezi mabaya na kufanyiwa Figisu Figisu na kusema kuwa Wamepokelewa vizuri mno na Kiupendo kabisa.
Mbumbumbu wanazipenda hizi..ukiona wanavyo comment sasa ..hahahahahahaHivi hizi ndo content za "member maarufu"
Sometimes unasoma unaishia kucheka unawaza huyu ni msomi ana akili za mambo ya uchawi uchawi vp mkurya mwenzake ambae Hana vidato yupo yupo na baiskel yake anatembeza mayaiMbumbumbu wanazipenda hizi..ukiona wanavyo comment sasa ..hahahahahaha
Walidanganywa ile ajari yao eti mganga kaisha chukua kitu muhimu..wakala chuma taifa