Najua kutaja jina lako halisi inaweza ikawa ngumu kidogo kwa sasa hivi, ila ungeweza kuelezea kwa ufupi ulisoma wapi, unafanya nini na uko wapi ili kama kuna watu mliokua nao pamoja katika moja ya maeneo hayo wakusaidie. kumbuka unatumia avatar sasa inakua ngumu mtu kujua wewe ni nani.