Tafadhali soma ili utoe msaada

Tafadhali soma ili utoe msaada

msugupendigwite

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
137
Reaction score
26
Namtafuta Mwl Epifani Nicolas amesoma chuo cha ualimu Mhonda, kwa anaemjua au yeye mwenyewe anicheki kwenye 0762 87 51 37
 
Acha kujifanya mjuaji wewe ndezi!

Najua kutaja jina lako halisi inaweza ikawa ngumu kidogo kwa sasa hivi, ila ungeweza kuelezea kwa ufupi ulisoma wapi, unafanya nini na uko wapi ili kama kuna watu mliokua nao pamoja katika moja ya maeneo hayo wakusaidie. kumbuka unatumia avatar sasa inakua ngumu mtu kujua wewe ni nani.

Thanks
 
Back
Top Bottom