Nasakadoo
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 343
- 169
Habari Wadau,Members na Non-Members of JF
Ni juzi kati tu nilitoka kuweka uzi wa kuomba ushauri au msaada wa kile nilichokieleza.
Baadhi walinishauri pale wengine wakaponda ombi langu ila yote heri tu. Tena nilionana na mwana Jf maeneo ya Ubungo anatumia jina la #Mjasiliamali_Elimu humu, alinipa ushauri wa Mawazo mazuri tuu kilichobaki ni utekelezaji.
Sasa Issue ni kwamba (kwa wale ambao labda hawakuona uzi wangu) nimehangaika saana saana kutafuta ajira au kibarua chenye tija,nimeshindwa,nimehangaika pia kujiajiri lakini sikuwa na mtaji wa kutosha kwa hilo. Ndo nikaja humu Jf kuomba msaada wa kimoja wapo au vyote viwili, bado sijafanikiwa labda nimefanikiwa kwa 40%(kwa msaada wa mawazo).
Sasa hivi nilikuwa na Plan hii, na nakuomba msomaji wa Uzi huu ukonsetreiti hapa;
Ukweli kupata ajira ni ngumu saana na kujiajiri pia ni ngumu kama huna vyanzo vya uhakika vya mtaji.
Mimi nilikuwa naomba kwa yeyote aliye tayari kunifadhili Bajaj (TVS King) au Noah,naomba tuongee
Unanipa Bajaj halafu mimi nakuwa nakutafutia hesabu
Kwa hesabu ya haraka haraka Bajaji kwa siku nitakuwa naleta Tsh10,000 hadi Tsh 15,000 kutegemea na Mazingira ya Kazi.
bahati nzuri nimewahi kuwa dreva bajaji so nina experience na hii shughuli.
Tsh10,000×6 (siku)=60,000/-
Hapo Masuala ya Service ni juu yangu.
Au
Tsh15,000×6(siku)=90,000/-
Hapa Service ni juu ya Bosi.
na Service ya Bajaj kama Dreva ni mzuri inaweza kufanyika mara moja kwa Mwezi au kila baada ya miezi miwili
kwa sababu issue kubwa kwenye Bajaj Slider na Hubcup zake ndo mara nyingi husumbua
Siku ya 7 nimeitoa kwa sababu binafsi ni mkristo so ningeomba niwe nahudhuria Church na kufanya usafi kidogo ndiyo maana nimepiga mahesabu ya Siku sita sita.
Kwa Upande wa Noah huko Pia ni Maelewano tu,maana kuna maeneo yanakuwa na Abiria wengi na hayana lami so kwangu mimi location nzuri naijua au itategemea na masharti ya mwenye chombo kujua nimletee hesabu sh ngapi baada ya Makato yoote ya siku.
Nadhani mpaka hapo kuhusu vyombo hivyo nimefafanua vizuri kiasi ambacho mwenye chombo anaweza kunitathimini ili tuonane na kupeana majukumu rasmi.
Nina uhitaji kweli,
Leseni ya Udreva ninayo,ina Madaraja A,B,C,D,& E.
Jinsia yangu ni ME umri wangu hauzidi miaka 27.
Lakini pia la Nyongeza sasa labda huko kote nimefeli,
Mimi pia napenda kuuza Dukani,duka lolote lile,liwe la Hardware,Soft Drinks,Casual Wears,Electronics, la Mchanganyiko wa Bidhaa mimi nipo vizuri,ni suala la kuelekezwa siku moja mbili,then We go.
So kama kuna mtu ana una mtu anatafuta mtu wa hivyo naomba tuwasiliane ndugu zangu.
Pia kuna wale Wanaotafuta Madreva wa kuwa wanawapeleka kazini na kwenye Project mbali mbali,mimi nipo Tayari kuwa Dreva wako tuwasiliane pia.
Kwa kifupi ni hayo tu,naomba mnifikirie kijana wenu,mwanenu,ndugu yenu,n.k.
Unaweza kuni PM au namba yangu ya Simu ni
+255 718 65 11 74.
NITASHUKURU OMBI LANGU LIKIKUBALIWA.
IN GOD/ALLAH WE TRUST.