kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Jana tumepelekeshwa sana na ZbarHakuna mchezaji aliye na uwezo kama SURE BOY ambaye anaweza kuleta umoja kwa TIMU YA TANZANIA AFCON. Tunaiomba TFF imwite SURE BOY na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni SURE BOY NA AUCHO TU. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
Huo ni uwongo,uwongoooo tuna midfield nyingi kali kuliko huyo uliyemtaja,Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama SURE BOY ambaye anaweza kuleta umoja kwa TIMU YA TANZANIA AFCON. Tunaiomba TFF imwite SURE BOY na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni SURE BOY NA AUCHO TU. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.
CR 7 ni kijana bado acha porojo ya UzeeHuo ni uwongo,uwongoooo tuna midfield nyingi kali kuliko huyo uliyemtaja,
Kuna yule anayecheza Tabora United sijui Najim / Nasib huyu kijana anaupiga mwingi sureboy hatii mguu na alivunjavunja kiungo cha yanga siku ile...
Sureboy ni mzee amechoka hana tofauti na msuva,na ndio maana kule utopoloni hachezi mara kwa mara....
Vijana wapo kwanini tuhangaike na wazee?
Bange ni zao la Biashara piaNi bora huyo Aucho apewe uraia aitwe timu ya taifa lakini sio huyo mtafuna bange sure boy.
Ni bora huyo Aucho apewe uraia aitwe timu ya taifa lakini sio huyo mtafuna bange sure boy.
Najua ulishamnyongea mmea siyo!Ni bora huyo Aucho apewe uraia aitwe timu ya taifa lakini sio huyo mtafuna bange sure boy.
TFF ndo wamwite sue boy!!!Hakuna mchezaji aliye na uwezo kama SURE BOY ambaye anaweza kuleta umoja kwa TIMU YA TANZANIA AFCON. Tunaiomba TFF imwite SURE BOY na kumpa heshima anayostahili katika nchi hii. Watu wenye uwezo wa kushika dimba ni SURE BOY NA AUCHO TU. TFF, tafadhali mwalikeni Sure Boy, mwiteni Sure Boy.