GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu, Kijipendekeze Kwake na Wapeane muda wa Kutoa 'Ngonjera' zao kwa 'Kuwachamba' waliokuwa hawaivi nao katika 'CCM Mkakati' iliyopita ya 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021.
Mungu kwanini umetuchukulia JPM???
Mungu kwanini umetuchukulia JPM???