Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

JPM alitumia style gani kuipa nguvu CCM?, hiyo style ni sawa au si sawa?, kwani hata hawa wakitumia style hiyo CCM haitakuwa na nguvu?..
Asili ya CCM ni kupigania Uhuru ndio maana ama inaongozwa na wazee au watu wenye fikra za kizee!
 
Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu, Kijipendekeze Kwake na Wapeane muda wa Kutoa 'Ngonjera' zao kwa 'Kuwachamba' waliokuwa hawaivi nao katika 'CCM Mkakati' iliyopita ya 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021.

Mungu kwanini umetuchukulia JPM???
Pascal Mayalla lakini kwanini watu wachache wa huko lumumba wanawabebesha lawama nyie. Je? wewe Kama mwanachama ( mbunge mtarajiwa )unalishuhulikia vipi hili watu wayaone mazuri ya lumumba na wakose chakuongea
 
Maisha magumu na mafuta ni akina Majaliwa waliojaliwa vyeo vyao wanakula cha juu😁😁😁
16418874249070.jpg
 
Hata wababa wa CCM nao hawakubali basi tu wanaugulia ndani kwa ndani
Uko sahihi tena 100% Mkuu kwani kuna Mmoja ni Rafiki yangu kupitia Mzazi wangu na alishawahi kuwa Waziri na Kiongozi ndani ya CCM nikikaa nae chemba ( pembeni ) hamkubali kabisa Mama ila Waandishi wa Habari wakimsogezea tu Mic zao atoe Maoni yake huwa anamsifia Mama mpaka hata kutaka Kukufuru.
 
Fake
 
Back
Top Bottom