GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
CCM wangekuwa Wanajitambua kwa hali ya nchi ilivyo sasa wala wasingefanya Kwanza huo Mkutano Wao Mkuu huko Makao Makuu Dodoma badala yake wangeuhairisha ili watatue Masuala muhimu kwa Wananchi kama Mafuta na Gharama za Maisha kupanda kwa Kasi sasa.Unadhani ccm wanajielewa basi wenyewe walijenga madarasa wanadhani ndio wamemaliza kila kitu wanaacha kugusa maisha ya wananchi badala yake ngonjera tu
Mkuu kwani haujahudhuria kumbeCCM wangekuwa Wanajitambua kwa hali ya nchi ilivyo sasa wala wasingefanya Kwanza huo Mkutano Wao Mkuu huko Makao Makuu Dodoma badala yake wangeuhairisha ili watatue Masuala muhimu kwa Wananchi kama Mafuta na Gharama za Maisha kupanda kwa Kasi sasa.
Na naomba nijiweke Wazi kuwa GENTAMYCINE ni mwana CCM lia lia nikiwa ni Mfuasi Mkuu wa CCM Makini na yenye Malengo mema kwa Tanzania yote na Watanzania wote ambayo ilikuwa chini ya Muasisi Mwenyewe Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Huyo rais kalewa kabisa kusifiwa.. tena mmama... dahUnadhani ccm wanajielewa basi wenyewe walijenga madarasa wanadhani ndio wamemaliza kila kitu wanaacha kugusa maisha ya wananchi badala yake ngonjera tu
Hata wababa wa CCM nao hawakubali basi tu wanaugulia ndani kwa ndaniHuyo rais kalewa kabisa kusifiwa.. tena mmama... dah
Halafu tumuachie nani kufatilia mgogoro wa ukraine mkuu.tuachie Tanzania na ccm yetu.tuletee nyuzi za ukraine war ndio zinabamba kwa sasa.Hakika tutamkumbuka mwendazake huko mbele ni giza nene sana.Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu, Kijipendekeze Kwake na Wapeane muda wa Kutoa 'Ngonjera' zao kwa 'Kuwachamba' waliokuwa hawaivi nao katika 'CCM Mkakati' iliyopita ya 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021.
Mungu kwanini umetuchukulia JPM???
Maisha magumu unayo peke yako!Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu, Kijipendekeze Kwake na Wapeane muda wa Kutoa 'Ngonjera' zao kwa 'Kuwachamba' waliokuwa hawaivi nao katika 'CCM Mkakati' iliyopita ya 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021.
Mungu kwanini umetuchukulia JPM???
Ila upinzani hauna plan yoyote hivyo licha ya sisiemu kuwa ktk hali yoyote tete, wapinzani hawawezi chukua nchi...Kuna watu waliogopa CCM itawafia nadhani sasa ndio itawafia kweli japo JIWE alikuwa kama glucose aliipa nguvu kwa miaka 6!
Kuna watu waliogopa CCM itawafia nadhani sasa ndio itawafia kweli japo JIWE alikuwa kama glucose aliipa nguvu kwa miaka 6!
GENTAMYCINE Kaka dunia haiko upande wetu ila iko siku yatakwishaKuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu, Kijipendekeze Kwake na Wapeane muda wa Kutoa 'Ngonjera' zao kwa 'Kuwachamba' waliokuwa hawaivi nao katika 'CCM Mkakati' iliyopita ya 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021.
Mungu kwanini umetuchukulia JPM???