johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asili ya CCM ni kupigania Uhuru ndio maana ama inaongozwa na wazee au watu wenye fikra za kizee!JPM alitumia style gani kuipa nguvu CCM?, hiyo style ni sawa au si sawa?, kwani hata hawa wakitumia style hiyo CCM haitakuwa na nguvu?..
Tanzania hakuna upinzani!Ila upinzani hauna plan yoyote hivyo licha ya sisiemu kuwa ktk hali yoyote tete, wapinzani hawawezi chukua nchi...
Pascal Mayalla lakini kwanini watu wachache wa huko lumumba wanawabebesha lawama nyie. Je? wewe Kama mwanachama ( mbunge mtarajiwa )unalishuhulikia vipi hili watu wayaone mazuri ya lumumba na wakose chakuongeaKuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu, Kijipendekeze Kwake na Wapeane muda wa Kutoa 'Ngonjera' zao kwa 'Kuwachamba' waliokuwa hawaivi nao katika 'CCM Mkakati' iliyopita ya 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021.
Mungu kwanini umetuchukulia JPM???
Team Nyerere hatupendwi CCM za sasa.Mkuu kwani haujahudhuria kumbe
Uko sahihi tena 100% Mkuu kwani kuna Mmoja ni Rafiki yangu kupitia Mzazi wangu na alishawahi kuwa Waziri na Kiongozi ndani ya CCM nikikaa nae chemba ( pembeni ) hamkubali kabisa Mama ila Waandishi wa Habari wakimsogezea tu Mic zao atoe Maoni yake huwa anamsifia Mama mpaka hata kutaka Kukufuru.Hata wababa wa CCM nao hawakubali basi tu wanaugulia ndani kwa ndani
FakeUko sahihi tena 100% Mkuu kwani kuna Mmoja ni Rafiki yangu kupitia Mzazi wangu na alishawahi kuwa Waziri na Kiongozi ndani ya CCM nikikaa nae chemba ( pembeni ) hamkubali kabisa Mama ila Waandishi wa Habari wakimsogezea tu Mic zao atoe Maoni yake huwa anamsifia Mama mpaka hata kutaka Kukufuru.
Yale 'Manyang'au' yamerejea tena CCM.Mkuu umemalizia na swali gumu kulikoni?
Alikuwa anaipeleka Tanzania kuzuri ila sasa tunapelekwa Jehanam na Shimoni Mkuu na kinachoniuma zaidi 95% ya Watanzania wala hawajaliona hili.Hiyo aya ya mwisho inaumiza sana
Sawa Tajiri wa JF na Mtu wa Serikalini!!!!Maisha magumu unayo peke yako!
Pambana ujikwamue
Alikuwa anaipeleka Tanzania kuzuri ila sasa tunapelekwa Jehanam na Shimoni Mkuu na kinachoniuma zaidi 95% ya Watanzania wala hawajaliona hili.
Ccm inasaidiwa na tume ya uchaguzi na polisi usijitoe ufahamu, waache uchaguzi huru uoneIla upinzani hauna plan yoyote hivyo licha ya sisiemu kuwa ktk hali yoyote tete, wapinzani hawawezi chukua nchi...