Tafadhali usicheke, Ukicheka wewe ni mtu usiye na huruma KABISA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO

Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,

Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,

Daktari : Hebu vua nguo tuone,

Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.

Daktari : usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.

jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona, ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dakika 3 hadi machozi yakamtoka.Dushelele ya jamaa ilikua ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,

Daktari : enhee Tatizo ni nini???

Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,

Daktari akazimia
 
Leo umekuja kivingine kabisa
 
Duh! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo Dokta hafai kabisa anatoa siri za wagonjwa wake ......!
 
Salaleeeee hahaha hahaha hahaha
 
Dela gawiza ng'wana MBITIYAZA

Mbiti= fisi
Yaza=e-kundu, nyekundu,.

Tukitafsiri kiswahili-sukuma=Fisi nyekundu.

Lakini kwa vile ngeli ya nomino ya viumbe hai ni "A - WA" katika kiswahili fasaha, basi kiswahili fasaha ni "fisi mwekundu" mfano: ( umoja) "fisi Ana miguu minne/au (kwa wingi) fisi WAna miguu minne,"

Hatwezi kusema "fisi nyekundu" Maana hii katika kiswahili ni moja ya ngeli za vitu visivyohai I - YA (mfano: huwezi kusema (kwa umoja) fisi INA miguu minne/au (kwa wingi) Fisi ZIna miguu minne.


Mbitiyaza=Fisi mwekundu (au kiswahili-sukuma: fisi nyekundu)
 
Kila MTU anatumia code name yake. Mtu hakizai maana
 
We jamaa story zako unazijuaga mwenyewe tu
Sio kwa kamba kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…