๐๐Toka nimegundua kundi kubwa ni watoto wa 2000 humu sijui napaonaje๐ค
Kabisa mkuu ,humu nipakusepa๐๐๐
Ngoja nistay zangu Twitter bn huku nakula chabo mara Moja moja
Aaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli lakini
๐ ndio vitu unavyopenda kuoa aahMshangazi huo
Kifuani mtindi dumu lita 5
Huko nyuma mchanga kifusi lori haibebi
Chai๐ ndio vitu unavyopenda kuoa aah
Utapinga ila ndio uhalisia.Chai
๐๐Rudi Mirembe wewe ukamalizie dozi za dawa zako,naona hali inazidi tu kua mbaya kila kukicha.