Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

Ni lafudhi nzito sio lahaja nzito
Sikuwa naongea kuhusu lafudhi yao kwenye lugha ya kiswahili. Nilikuwa naongea kuhusu lugha yao ya kikisii na kikuria kwahivyo ni lahaja. Sawa mwalimu jini?
 
Hahaha genius sio? πŸ™‚
 
Hao wakenya ndio wanaofundisha kiswahili huko mabara ya nje ya Africa!! hahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sikuwa naongea kuhusu lafudhi yao kwenye lugha ya kiswahili. Nilikuwa naongea kuhusu lugha yao ya kikisii na kikuria kwahivyo ni lahaja. Sawa mwalimu jini?
Hivi ni strong dialect
Au ni strong accent?

We kweli kilaza hata maana ya lahaja hujui

Americans speak strong dialect hahaha dumb as rock
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeiona list nikajua nitakuta 'umeena'
 
Achana na mimi wewe fanya mambo yako!!
Naona mwenzako amekupa za usoni. Hasira za msomali akipoteza
ngamia unaletea nani hapa?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Keep editing and adding until forever
Always read before
you quote anyone's comments.
Hahaha am Back and sound πŸ˜€View attachment 761104
Rudi kwenye comment yangu uliyoinukuu. Soma upya utaona kwanini nilitumia lahaja. Wakisii wana vilugha vyao tofauti. Unavyokurupuka lakini sioni kama utaelewa. Naona uko very idle. Rudi kwenye zile nyuzi zenu za ligi za kitoto. [emoji38]
 
Pain in the butt οΏΌοΏΌ πŸ˜€πŸ˜€ I would have been very surprised if you were not coming back with this load of shit

Eat that
 
Pain in the butt οΏΌοΏΌ πŸ˜€πŸ˜€ I would have been very surprised if you were not coming back with this load of shit

Eat that
[emoji15][emoji15][emoji15] G.I.G.O! Garbage In Garbage Out. Masigwa rara wewe! [emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…