pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sikuwa naongea kuhusu lafudhi yao kwenye lugha ya kiswahili. Nilikuwa naongea kuhusu lugha yao ya kikisii na kikuria kwahivyo ni lahaja. Sawa mwalimu jini?Ni lafudhi nzito sio lahaja nzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwa naongea kuhusu lafudhi yao kwenye lugha ya kiswahili. Nilikuwa naongea kuhusu lugha yao ya kikisii na kikuria kwahivyo ni lahaja. Sawa mwalimu jini?Ni lafudhi nzito sio lahaja nzito
Usinilazimishe niamini unachoamini acha Upumbavu wa kishamba huninunulii bandoNdio dialect yao acha ubishi wa kipumbavu eti amekosea
Hahaha genius sio? 🙂Napendaga sana kusikia kiswahili kikicharangwa hovyo hovyo inanifanyaga najisikia kama linguistic genius vile.
Niliwahi kukaa Kenya kule Mombasa sasa kiswahili cha kule kilikuwa sawa sikuona makosa mengi kihivyo but I wish ningekaa kwa hawa wa Chibusi na chuisi.
Achana naye huyo. Labda ana sitilesi zake.Usinilazimishe niamini unachoamini acha Upumbavu wa kishamba huninunulii bando
Zambusa hahaha
Hivi ni strong dialectSikuwa naongea kuhusu lafudhi yao kwenye lugha ya kiswahili. Nilikuwa naongea kuhusu lugha yao ya kikisii na kikuria kwahivyo ni lahaja. Sawa mwalimu jini?
Tulia wewe. Kunywa chuisi yako kwanza. Mayaye ndio yanapikwa. Sagwa sagwa? 😀Hao wakenya ndio wanaofundisha kiswahili huko mabara ya nje ya Africa!! hahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sio kuamini hiyo sio hirizi that's fact uamini kwani ni ramli hiyo?Usinilazimishe niamini unachoamini acha Upumbavu wa kishamba huninunulii bando
Tafuta kamusi yako kwanza kisha urejee upya.Hivi ni strong dialect
Au ni strong accent?
We kweli kilaza hata maana ya lahaja hujui
Americans speak strong dialect hahaha dumb as rock
Achana na mimi wewe fanya mambo yako!!Sio kuamini hiyo sio hirizi that's fact uamini kwani ni ramli hiyo?
😀😀😀😀Tafuta kamusi yako kwanza kisha urejee upya.
[emoji4][emoji4]Haaa aaa umenifanya nicheke asubuhi yote hii!
Hahaha am Back and sound 😀Tafuta kamusi yako kwanza kisha urejee upya.
Naona mwenzako amekupa za usoni. Hasira za msomali akipotezaAchana na mimi wewe fanya mambo yako!!
Always read before😀😀😀😀
Keep editing and adding until forever
Rudi kwenye comment yangu uliyoinukuu. Soma upya utaona kwanini nilitumia lahaja. Wakisii wana vilugha vyao tofauti. Unavyokurupuka lakini sioni kama utaelewa. Naona uko very idle. Rudi kwenye zile nyuzi zenu za ligi za kitoto. [emoji38]Hahaha am Back and sound 😀View attachment 761104
Pain in the butt  😀😀 I would have been very surprised if you were not coming back with this load of shitNaona mwenzako amekupa za usoni. Hasira za msomali akipoteza
ngamia unaletea nani hapa?
Always read before
you quote anyone's comments.
Rudi kwenye comment yangu uliyoinukuu. Soma upya utaona kwanini nilitumia lahaja. Wakisii wana vilugha vyao tofauti. Unavyokurupuka lakini sioni kama utaelewa. Naona uko very idle. Rudi kwenye zile nyuzi zenu za ligi za kitoto. [emoji38]
[emoji15][emoji15][emoji15] G.I.G.O! Garbage In Garbage Out. Masigwa rara wewe! [emoji38][emoji38]Pain in the butt  😀😀 I would have been very surprised if you were not coming back with this load of shit
Eat that
Hahaha. 🙂GIGO - Gold In Gold Out
Ahaaa haaa haaa