Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

Lahaja zingine za lugha ya mama ni nzito kweli kweli. Ukisikia mtu anakuambia 'alipigwo' 'akanyogwo'(kabali) kisha 'akanyang'anywo' hela zake, jamani usiulize maswali mengi. Wewe kausha tu. [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee 'akanyogwo'
 
Kitendo cha kuwatupia huu mzigo watu a kisii peke yao badala ya taifa zima la Kenya ndo ubaguzi huo, kwamba maeneo mengine mko vizuri isipokuwa wakisii, na hapa ukumbuke unaongea na watu kutoka taifa jingine. So unachotaka kutuaminisha ni makabila mengine yako sawa isipokuwa wakisii. Hii ingekuwa poa kule KT sio hapa.

Ingefaa hii mchukulie kama mnavyofanya kwa wakalenjin pale wanapoleta medali za riadha kenya, sijawahi kuona mtu hapa akisema hao ni wakalenjin, ila huwa mnasema hao ni wakenya.

So kwenye makosa pia myabebe kama taifa sio kubaguana kwa ukanda.

Akhsante.

Dah una matatizo makubwa, watu wanapata burudani humu wakati unateseka na hizi insha zako.
Angalia uzi wote watu wana furaha bila ya haya matabaka yako na ligi.

Kenya huwa tunapata raha sana ya hizi lafudhi tofauti tofauti, na huwa zinatumika hata kwenye maigizo ya comedies.
 
Hehee...Hizi ni machakura za Wakisii pwana! Kiswahili ilikuja na upepo! Hapana leta Kiswahili mingi,ya kuomba maji natosha!
Haaa haaa aaa mbona na wewe umechapia humo humo mkuu!
 
Hicho kiswahili kiliandikwa na mtu asiyejua vizuri kisw na akaamini kuwa anajua mbona hata huku kwetu wapo watu kibao wanakoseaga kuandika mfano unamkuta mtu badala ya kuandika Mbwa anaandika Mubwa
Ndio dialect yao acha ubishi wa kipumbavu eti amekosea
 
Back
Top Bottom