Hamjambo wakuu!ni post yangu ya kwanza kabisa humu JF.naelekea mwaka wangu wa 3 wa shahada ya pROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT.huenda nisimalize vema kwa kukosa ada.nahtaji kufanya part time hapa Dar itayonisaidia kwa hili.NIAPDET via mtatam@yahoo.com hapa JF ni mgeni wandugu.
Sawa mdogo wangu hizo nichangamoto...nivizuri hujakata tamaa.. Kwakuanzia kwakua upo DSM fika ofisi za Bayport,adjacent an Airtel pale moroco kuna nafasi za loan consultants which you can do in your part time.Muulizie mtu anaitwa Robert.