Tafadhali wakuu,Nipate wapi part time job niweze kumudu ada??

Tafadhali wakuu,Nipate wapi part time job niweze kumudu ada??

mtata mtatuzi

Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
44
Reaction score
10
Hamjambo wakuu!ni post yangu ya kwanza kabisa humu JF.naelekea mwaka wangu wa 3 wa shahada ya pROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT.huenda nisimalize vema kwa kukosa ada.nahtaji kufanya part time hapa Dar itayonisaidia kwa hili.NIAPDET via mtatam@yahoo.com hapa JF ni mgeni wandugu.
 
Sifadhiliwi na BODI.Nilianza under pryvet sponsorship,sasa thngz r turning UPSYD DOWN.
 
Sawa mdogo wangu hizo nichangamoto...nivizuri hujakata tamaa.. Kwakuanzia kwakua upo DSM fika ofisi za Bayport,adjacent an Airtel pale moroco kuna nafasi za loan consultants which you can do in your part time.Muulizie mtu anaitwa Robert.
 
asante mtized one.lakin who z ths robert in particular?nicje enda kichwa kichwa...
 
kaka omba temple utapata tuu na mtangulize mungu kwenye maombi!
 
Kaka pole sana na hali hii.Hili ni tatizo sugu kwa wasomi wengi wa elimu ya juu,.. Usikate tamaa iko siku yatakwisha.
 
Back
Top Bottom