Tafadhali wale 'Watanzania Waholanzi' tunaotaka 'Watanzania Waingereza' leo Wafungwe tukutane Jioni hii tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nawachukia Waingereza kwakuwa wana tabia zile zile za Kelele, Propaganda nyingi, Ujivuni, Dharau na Sifa kama za Mashabiki wa Klabu Moja Kubwa na nisiyoipenda kuliko hata Shetani hapa Afrika Mashariki na Kati.

Kila la Kheri mno Netherlands hii Leo.
 
Sitakoment vibaya hapa nisijepata Tuhuma ya u RC
 
Nawachukia Waingereza kwakuwa wana tabia zile zile za Kelele, Propaganda nyingi, Ujivuni, Dharau na Sifa kama za Mashabiki wa Klabu Moja Kubwa na nisiyoipenda kuliko hata Shetani hapa Afrika Mashariki na Kati.

Kila la Kheri mno Netherlands hii Leo.
Leo mkoloni Sir. Horace byatt atapigwa hatari
 
Popoma limeangukia Pua, limechaniwa mkeka....safi sana
Kwahiyo ulisubiria hadi Matokeo yaje ndiyo uje uchangie huu Uzi? Mbona hukujitokeza kuchangia hivi kabla au hata wakati Mechi ikiendelea? Wanafiki mna taabu sana.
 
Mtu ukishaanzisha uzi unatakiwa uachie watu wengine wachangie, sasa wewe unaanzisha mada kisha wewe huyo huyo ndio mchangiaji, it becomes very boring.

Hata hivyo Uholanzi tayari amesha tupwa nje ya mashindano japo mimi naifagilia England itwae taji kwa mara ya kwanza kwani Uholanzi alishalitwaa mwaka 1988 na Spain mwaka 1964, 2008 na 2012.
 
Hopeless.
 
Back
Top Bottom