GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sitakoment vibaya hapa nisijepata Tuhuma ya u RCNawachukia Waingereza kwakuwa wana tabia zile zile za Kelele, Propaganda nyingi, Ujivuni, Dharau na Sifa kama za Mashabiki wa Klabu Moja Kubwa na nisiyoipenda kuliko hata Shetani hapa Afrika Mashariki na Kati.
Kila la Kheri mno Netherlands hii Leo.
Endelea tu kujaa katika 18 sawa? Na usidhani ukija na hii ID yako nyingine sitokujua wakati nimeshakujua.Sitakoment vibaya hapa nisijepata Tuhuma ya u RC
Mada ( Thread ) ni ya Mumeo huyo Uliyemtaja au ni ya Uholanzi na Uingereza?Umefeli kwa Aziz K umehamia ulaya, we dada unavituko
Hi I ndo ID yangu ya Siku zoteEndelea tu kujaa katika 18 sawa? Na usidhani ukija na hii ID yako nyingine sitokujua wakati nimeshakujua.
Mwanaume alafu una nyashi au unatumia dildoMada ( Thread ) ni ya Mumeo huyo Uliyemtaja au ni ya Uholanzi na Uingereza?
Leo mkoloni Sir. Horace byatt atapigwa hatariNawachukia Waingereza kwakuwa wana tabia zile zile za Kelele, Propaganda nyingi, Ujivuni, Dharau na Sifa kama za Mashabiki wa Klabu Moja Kubwa na nisiyoipenda kuliko hata Shetani hapa Afrika Mashariki na Kati.
Kila la Kheri mno Netherlands hii Leo.
Kwahiyo ulisubiria hadi Matokeo yaje ndiyo uje uchangie huu Uzi? Mbona hukujitokeza kuchangia hivi kabla au hata wakati Mechi ikiendelea? Wanafiki mna taabu sana.Popoma limeangukia Pua, limechaniwa mkeka....safi sana
Hopeless.Mtu ukishaanzisha uzi unatakiwa uachie watu wengine wachangie, sasa wewe unaanzisha mada kisha wewe huyo huyo ndio mchangiaji, it becomes very boring.
Hata hivyo Uholanzi tayari amesha tupwa nje ya mashindano japo mimi naifagilia England itwae taji kwa mara ya kwanza kwani Uholanzi alishalitwaa mwaka 1988 na Spain mwaka 1964, 2008 na 2012.
Tumefungwa na ndiyo Mchezo wa Soka ulivyo labda kwa Juha ( Fool ) pekee na asiye Mwanamichezo ndiyo atashangaa.Kiko wapi?
How 😰😰😰Hopeless.