Tafadhali Wanawake naomba mnisikilize

Tafadhali Wanawake naomba mnisikilize

Bodhichitta

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
315
Reaction score
762
Aslaam,
Wanawake emu eleweni kuwa mwanaume Huwa kwenye mahusiano na nyinyi Kwa sababu ya mambo mawili.

Jambo lakwanza ni Kwa ajili ya ngono(sex) lakini la pili ni Kwa ajili ya upendo.

Lakini linapokuja suala la ndoa huaga haangalii hayo mambo mawili niyoyasema hapo juu.
Nabadala yake huangalia utulivu(peace of mind),

Mwanaume anaweza akakupenda lakini asikuoe, anaweza akafanya nawewe sex Kila siku lakini asikuoe.

Anavokuja kuwa tayari na kuoa huaga anamtafuta mwanamke Ambae kwake anaweza kupata utulivu katika maisha yake, yaani anamtafuta mwanamke Ambae anaweza kupitia kwake akili yake ikatulia kabisa katika maisha yake.

Nafikiri umeshawahi kusikia mwanaume akisema nampenda saana huyu mwanamke lakini sidhani kama tunaweza kufika popote??

Wanaume hutaka amani, hawataki mwanamke Ambae anaweza akawa chanzo Cha msongo wa mawazo.

Hii ndo maana mwanaume anaweza kukaa na mwanamke miaka mingi ila ukashangaa akaoa au kutafuta mchepuko Kwa mda mfupi.

Mwanaume haridhishwi na upendo na ngono tu, Bali heshima ambayo humpa yeye utulivu katika ndoa.
 
Kuna mtu unataka kumpiga kibuti? Au ulimdanganya na sasa umeshapata wa kuoa ambae hajawahi kukupa ngono na wala hukuwahi mpenda?
 
Aslaam,
Wanawake emu eleweni kuwa mwanaume Huwa kwenye mahusiano na nyinyi Kwa sababu ya mambo mawili.

Jambo lakwanza ni Kwa ajili ya ngono(sex) lakini la pili ni Kwa ajili ya upendo.

Lakini linapokuja suala la ndoa huaga haangalii hayo mambo mawili niyoyasema hapo juu.
Nabadala yake huangalia utulivu(peace of mind),

Mwanaume anaweza akakupenda lakini asikuoe, anaweza akafanya nawewe sex Kila siku lakini asikuoe.

Anavokuja kuwa tayari na kuoa huaga anamtafuta mwanamke Ambae kwake anaweza kupata utulivu katika maisha yake, yaani anamtafuta mwanamke Ambae anaweza kupitia kwake akili yake ikatulia kabisa katika maisha yake.

Nafikiri umeshawahi kusikia mwanaume akisema nampenda saana huyu mwanamke lakini sidhani kama tunaweza kufika popote??

Wanaume hutaka amani, hawataki mwanamke Ambae anaweza akawa chanzo Cha msongo wa mawazo.

Hii ndo maana mwanaume anaweza kukaa na mwanamke miaka mingi ila ukashangaa akaoa au kutafuta mchepuko Kwa mda mfupi.

Mwanaume haridhishwi na upendo na ngono tu, Bali heshima ambayo humpa yeye utulivu katika ndoa.
Hebu oa huyo binti wawatu mkuu, acha ku justify uhalifu kwa hoja nyepesi
 
Keep focusing on money, food and hobbies, love is a scam
 
Back
Top Bottom