Tafadhali Wema hamishia team yako umsapoti Belle 9

Tafadhali Wema hamishia team yako umsapoti Belle 9

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Na Yeye Afurahiye Matunda Ya Muziki Wake.
 
Mirror kwani hataki matunda ya music watu wanaangalia maslahi kwanza mengine baadae
 
Mirror kwani hataki matunda ya music watu wanaangalia maslahi kwanza mengine baadae
Mkuu hivi mirror bado anaimba? daah dogo anasimamiwa na brand kubwa endless fame lakini mziki wake umedumaa
 
Mkuu hivi mirror bado anaimba? daah dogo anasimamiwa na brand kubwa endless fame lakini mziki wake umedumaa
Mirror anaimba Sana ila yule tatizo moja tu ndo Kama richmavoko
 
Ajichetue akili amponde tu Diamond , automatic team Wema na Kiba watamsapoti
 
Aanze bifu na diamond kwanza ndo atapata support ya wema na panya road wake
 
Back
Top Bottom