MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno.
Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi akaishiwa Kushambulia na Kutukanwa na bahati nzuri mpaka hivi sasa Yanga SC ni Bingwa kwa 90%.
Na hapa katikati tena ( Majuzi tu ) baada ya Simba SC Kushinda Goli 1 dhidi ya Orlando Pirates FC katika CAFCC JamiiForums Member huyo huyo ( niliyemsahau ID yake ) alisema kuwa mwisho wa Simba SC umeshadika na watake wasitake watapoteza ( watafungwa ) na Orlando Pirates FC, ila kwa Masikitiko makubwa akaishia Kushambulia na Matusi kibao lakni Leo ule Utabiri na Mtazamo wake umetimia na hatimaye Simba SC imeyaaga rasmi Mashindano ya CAFCC .
Tukubali tu wengine Wameshabarikiwa.