Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Nahitaji mwenza mwenye utayari wa kufanya maisha nami,asiwe tayari na mtoto kwa kua mimi bado sina,awe m/ke wa umri usiozidi miaka 29,mcha Mungu na mwenye mapenzi ya dhati.Aliye tayari tuwasiliane kwa email yangu tdesomazingirajamii98@gmail.com
 
Wakuu hilo jukwaa la wakubwa nalisikia mnasema sema lipo wapi,na kujiunga ni vip,ba vigezo gani?
 
Mizaha imezidi sana kwenye hii. Watu wengi ni wababaishaji! Ingekuwa vyema kama kungekuwa na utenganisho kuzingatia umri wa mwombaji au mtafutaji. Mods tunaomba jukwaa la watu wazima ' Umri iwe kigezo' Kuna wajane wagane oops sijui kama kuna kitu wagane(mwanaume aliyepoteza mke anaitwaje) Wengi wanakuwa stigmatized kwa Kufiwa. Nawaza tu!
Hapo itatakiwa nitengeneze ID ya mtu mwenye miaka 70 [emoji41][emoji41]

Kwani hilo jukwaa liluhusu nini?
 
Back
Top Bottom