kuna wakati maumivu yanakua sio makali kihivyo.kuna na maumivu kwenye tumbo upande wa chini kulia.yanaweza kuwa yanakuja na kwenda ,yakawa makali au kwa mbali,ila ujue kuna Acute appendex na chronic appendex. Ikiwa bado acute itakua inakusumbua na kupoa na wakati mwingine haiumi sana lakini unajua tu something is wrong there. Then kuna siku itakukamata kiasi utashindwa hata kutembea wima,hata kukohoa au ukipiga hatua hiyo sehemu inauma hiyo stage ndo chronic appendex inabidi uitoe kwani inakua imeshavimba na iko na infection na inaweza kupasuka na ikipasuka itakuchukua muda mrefu sana kupona au hata usipone ukafa. Haya ni maelezo kufuatana na uzoefu wangu kwani nilifanyia operation ya appendex wiki tatu zilizopita na naendelea kurecover.