Tafadhalini mashabiki wenzangu wa Simba efu Moja Moja kwa mashabiki laki moja tunamaliza Deni la milioni 90 na chenji inabaki

Upumbavu kama huu siwezi changia,,,, nchi imejaa watu wa ajabu waliokosa hata ufahamu wa kawaida..
Kwani umelazimishwa bwashee au roho mbaya inakusumbua Acha wenye timu yao wachangie hawa mashabiki wa Simba sio type ya akina Mpili malofa wakubwa nyie
 
Simba imeadhibiwa kwa sababu yetu sisi mashabiki, sio kosa la uongozi wala nn, japokuwa tunaamini kuwa Caf wametuonea lkn hakuna namna tena, lazima tulipe dola efu 40,000.

Ndugu yangu shabiki Mwenzangu wa Simba Sports Club, kama kweli wewe ni mwanachama au shabiki halafu viongozi wetu wanatuomba tuwajibike kwa pamoja kulipa deni hilo halafu wewe unakaza, nakuomba usifanye hivyo.

Hiyo milioni 90 mashabiki laki moja wakichangia she efu moja moja tu tayari milioni 100 mfukoni.

Simba ni yetu tunafurahi pamoja na tunawajibika pamoja.

Tusiutwishe mzigo mkubwa uongozi wetu wakati uwezo wa kuchangia tunao, narudia hiyo efu 5 tuliyopanga kwenda kuangalia gemu j2 tukaichangie klabu yetu.

Niko chini ya miguu yenu
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.

Quote
 
Wabunge wananaoshabikia Mnyama watalipa zote hizo. Spika na Naibu wake wanalipa nusu yake.

Back
Top Bottom