Tafadhalini naomba mnipokee..

Tafadhalini naomba mnipokee..

Tafadharini = Tafadhalini

Karibu na kuwa makini na uandikavyo usituharibie Kiswahili.
 
karibu sana, uwe na moyo wa subiri usiwe na hasira maana humu kuna watu wanakamusi za maneno ya kuudhi, itikadi yako ya siasa kaa nayo moyoni usiweke wazi, atakaye kutukana ukiweza na wewe mrudishie ukiona vipi potezea
 
Ahsante nina Imani ya kufuata ushauri wako...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu umemkaribisha na kiswahili fasaha. Wanaume wa mikowani shidaaaa hata kiswahili hawajui
mikowani =mikoani [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom