Subiri wanakuja wenye dini zao. 😂😂😂Shangaa na wewe kwani sisi watu weusi tuna shida gani. Ukiwaambia dini Zina miyeyusho hawataki ajabu ni kwamba tumepoteza Kila dini zetu za asili
Mtu anayotumia akili yake mwenyewe ataligundua hili mapema sana.Na huo ndio ukweli wenyewe ila watakuja na visingizio tele
Mitume weusi wapo ila hawapo kwenye hizo dini ulizozitaja.Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe
Swali lako lina uzito fulani, ila kuna mahali unajichanganya kiasi. Umeshasema tuwaweke mbali wazungu na waarabu. Sasa, unataka kuwe na nabii mweusi kwenye vitabu vyao wazungu na waarabu?Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe
Sasa kama unajua ndio ukwel,unauliza ili iweje..??Na huo ndio ukweli wenyewe ila watakuja na visingizio tele
kwa mujibu wa kitabu cha secretarybirdDini utapeli...
Vitabu vyote.kwa mujibu wa kitabu cha secretarybird
Unaelewa maana ya nabii?. Tuanzie hapo Kwanza!Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe
Hao wazungu na waarabu unewatoa kwa sababu unataka kuzungumza na weusi kuhusu dini.Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe
Tunae nabii Titto
Kumbe na wewe ni maandaziMakerubi na watakatifu uchwara, mnaitwa hapa, mkuje kutolea ufafanuzi tafakuri hii.
Nafikiri kabla ya kuniita maandazi, ungejibu hoja za mleta mada, vinginevyo wewe ni CHAPATI.Kumbe na wewe ni maandazi
Hakuna hoja hapa hata mtoto wa darasa la nne ana majibu, aende kanisani au msikitini kama alikimbia shule. aache kushinda bar.Nafikiri kabla ya kuniita maandazi, ungejibu hoja za mleta mada, vinginevyo wewe ni CHAPATI.