TAFADHALINI SANA WATU MNAOJIONA MNA DINI

Hakuna hoja hapa hata mtoto wa darasa la nne ana majibu, aende kanisani au msikitini kama alikimbia shule. aache kushinda bar.
Hebu mjibu kwa ufahamu wako wewe, ambaye umeingia aidha mskitini au kanisani, ndio maana kaleta hoja hapa mezani.

Kwani shida nini?
 
Mbona hata sisi weusi Kuna wengine weupe karibia wazungu? Bila shaka ni mipango ya Mungu kwamba wanaoishi Afrika wawe na rangi Yao na ulaya wawe na yao nk.Kidini tafsiri ya mtu si umbo lake la nje bali ni roho.ndo maana Kuna wazungu wezi kama walivyo wafrika,Malaya kama wafrika nk.Utu wa ndani tunafanana siyo rangi
 
Dhambi zako zikiwa nyeupe kama theluji utauridhi uzima wa milele , kinyume chake zikiwa nyeusi umeukosa
 
Hebu mjibu kwa ufahamu wako wewe, ambaye umeingia aidha mskitini au kanisani, ndio maana kaleta hoja hapa mezani.

Kwani shida nini?
Unapokelew ulivyokuja. Hiyo title imeandikwa na mshirikina mmoja alozoea kuwanga maisha yake yote na hana mpango kubadilika. Kwanini tupoteze muda kushindana.
 
Maswali yako ni magumu.Ajibi@BICHWAKOMWE
 
Unapokelew ulivyokuja. Hiyo title imeandikwa na mshirikina mmoja alozoea kuwanga maisha yake yote na hana mpango kubadilika. Kwanini tupoteze muda kushindana.
Poleeee!! Unashindana na nani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wana wa Israel, ni weusi... Sasa sijajua anazungumzia weusi upi? Au hujui kama sisi ndo wana wa israel wenyewe!! ile nchi inakaliwa na wahamiaji tuu...

Unafikri kwann wazazi wa YESU walikimbilia Misri kujificha wakati amri ilipotoka watoto wauawe πŸ˜…πŸ˜….

Mbantu ndo Mwana israel,
Na makabila kumi na mbili yake..
.....
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜›πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜›πŸ˜…πŸ˜›πŸ˜…
 
Huyu hafai kupewa haya maelezo, ni kumtwanga mishit mpaka uchukie
 
Hahaha ,mtoto wa makeda, King menelik 1 ebna hakim, ni watoto wa King solomoni , hivyo upo sawa.
 
Shangaa na wewe kwani sisi watu weusi tuna shida gani. Ukiwaambia dini Zina miyeyusho hawataki ajabu ni kwamba tumepoteza Kila dini zetu za asili
Sasa kama unazungumzia dini zenu za asili mashoga wameingiaje?
Wewe dini yakk ya asili inaitwaje?
Dini yako ya asili haikuwa na mitume?

Kama dini yako ya asili ina mitume si ndo hao ni mitume weusi unasemaje hawapo?
Kama dini yako ya asili yaina mitume sasa nani kakuleteeni?
 
Fatilia asili za hao manabii na mitume baadhi ni asili ya Afrika
 
Mimi mkristo sijajua rangi za watu zilikujaje ama zilianza lini ila jibu langu ni hili
Mungu alimchagua Ibrahim Kisha akamchagua mtoto wake Ibrahim wa kuitwa isaka Kisha akaahidi kupitia uzao wa isaka ndo watatokea viongozi (mitume)
Sasa kwa kuwa sijui mambo ya rangi za watu yalianzaje na hata rangi za uzao wa isaka hazizungumzwi siwezi kusema Mungu alichagua mitume kwa rangi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…